MOVIES NA VICHEKESHO

HARRY MAGUIRE

⭕ Licha ya Kupondwa sana, licha ya Kutukanwa sana, licha ya kukejeliwa sana, licha ya kutishiwa kuuwawa

Beki bora, Beki la Dunia, Beki la Kimataifa, Beki linalokaba hadi vivuli, Man To man Harry Maguire

Rasmi : Kocha wa klabu ya Man United Erik Ten Hag amethibitisha kuwa ataendelea kuwa nahodha wa kikosi hicho msimu ujao

Unadhani kwanini Ten Hag amemuamini tena Maguire ?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *